FREE MEDICAL CAMP AT KWA MBUZI IN RUAI
Updated on: Aug 22, 2018
Kaimu Afisa Mkuu wa Idara ya Afya katika Serikali ya Kaunti ya Laikipia (Donald Mogoi) na timu yake yote wanakualika ewe mkaaji wa Kwa-Mbuzi, Ruai, Stadium, Kilimo, Kichinjio na maeneo yaliyo karibu kwa matibabu bila malipo kesho Alhamisi.
Baadhi ya huduma zitakazopeanwa ni kama:
- Masomo kuhusu Afya,
- Uchunguzi wa kansa ya matiti na nyungu ya mtoto,
- Uchunguzi wa kifuakikuu (TB),
- Chanjo,
- Upangaji wa uzazi,
- Kupimwa virusi vya ukimwi,
- Walio na funza (jiggers) pia watatibiwa,
- Na kadhalika.
Kumbuka huduma zote zitapeanwa bila malipo.